TUENDELEE AMA TUSIENDELEE?
1: Maid wenu ni zuzu alinunua
mandazi kwa hoteli alipofika
nyumbani akazichemsha ili apate
supu
2: Naskia babu yako ni mkali sana
akikasirika sana anakunywa
painkillers!!!
3: Boyfriend wako amekonda mpaka
ikawa shingo ni kubwa kuliko mwili
3: wewe una dhambi mpaka
shetani anakuchongoa
4: Umesota hadi unanunua
sambusa za mtumba
5: wewe ni maskini hadi
unatengeneza sausage za viazi
6: kwenu ni mbali hadi saa za
kwenu mmefunga aerial!!!!
7: wewe ni hadi unatengwa na
laini za vodacom
8: Naskia mke wako ni mweusi hadi
ukimbusu lips zako zinaungua
9: Baba yako ni mchoyo hadi
akinunua mkate anasema kila mtu
anuse na akalale.
10: wewe ni mfupi hadi ukivaa buti
zinafika shingoni,!!!!!!!!
ongeza na zako hapo kwa comments ...
1: Maid wenu ni zuzu alinunua
mandazi kwa hoteli alipofika
nyumbani akazichemsha ili apate
supu
2: Naskia babu yako ni mkali sana
akikasirika sana anakunywa
painkillers!!!
3: Boyfriend wako amekonda mpaka
ikawa shingo ni kubwa kuliko mwili
3: wewe una dhambi mpaka
shetani anakuchongoa
4: Umesota hadi unanunua
sambusa za mtumba
5: wewe ni maskini hadi
unatengeneza sausage za viazi
6: kwenu ni mbali hadi saa za
kwenu mmefunga aerial!!!!
7: wewe ni
laini za vodacom
8: Naskia mke wako ni mweusi hadi
ukimbusu lips zako zinaungua
9: Baba yako ni mchoyo hadi
akinunua mkate anasema kila mtu
anuse na akalale.
10: wewe ni mfupi hadi ukivaa buti
zinafika shingoni,!!!!!!!!
ongeza na zako hapo kwa comments ...
2 comments:
Naskia shosho yako amezeeka paka Ana kojowa glue
Naskia ng‘ombe zenu zimekauka mpaka zinakamuliwa na pliars
Post a Comment