Sunday 11 May 2014

HESHIMA SI UTUMWA JOKES: Toboa siri

Hebu tuheshimiane. Acheni
madharau za pesa nane.

> I was walking along Muthithi road
beshte yangu aka-roll na ndaƬ na
kudai, "Vipi boss nikuwai lift?"Nani
boss kati ya mi na yeye?

> Unakunywa keg yet kifala flani
kinakushow umbaiye RedBull.

> Uko job yet una flash hustler.

> Madame kudai umlipie taco yet
unakaa Mukuru ama no nane.

> Unatumia C118 halafu dame yako anakudai umsambaze 5 bob yet anatumia BlackBerry ama Tablet.

> You live unda medication na ma-
doki wamegoma yet best yako,
anakushow, si ujifanye uko msick
upewe off.

> Msee anajua tu poa that huna teli
kwako yet anakuuliza kama ulicheki
game/news jana usiku. Alitaka ulale kwa neighbour?

> Unadunga mjengo inda yet kibuda fulani kwa mat anakudaisha change ya thao.

> Unaenda supermarket, una buy
vitu mob na change ni 68 bob
cashier anakushow utake pad ama
lolipop.

> Unaspin tuktuk yet dame ako na
RRS anakushow, "Your tire is flat."

> Kwenu mko familia ya mtu kumi yet besty yako anakushow, "Hawa watu huzaana ovyo do wameharibu our
economy".

> Teachers wako on strike yet una
ask mmoja wao kwani wanalipagwa
ngapi.

> Kukosa ku-contribute kwa
fundraiser ya msee yet umetumia
500 fare kuattend.

> Jamaa anakushow ule poko/
barmaid wako anakutafuta yet mko
na bibi / manzi yako.

1 comments:

Anonymous said...

pwahahahah, acheni ujinga

TRENDING THIS WEEK

SPORTS