Monday 12 May 2014

HATARI: KWA WALE WANAOPENDA KUTUMIA MAWIGI/ WEAVE MJIFUNZENI HAPA. KANSA HATARI INAWANGOJA…!!!

Baadhi ya wanawake wengi wa hapa mjini wamezoea kutumia style mpya ya kugundisha
nywele aka wiving katika vichwa vyao kwa kutumia gundi pasipo kujua mazara yake.
Watafiti na Madaktari kutoka bara ya ulaya wamethibitisha kuwa gundi hizo zinazotumiwa
huwa zinakemikali ambayo zinaleta
adhari kubwa katika mwili wa mwanadamu hususani kansa.

NI HATARI SANAAAAAAAAA…..!!

0 comments:

TRENDING THIS WEEK

SPORTS