Sunday 16 November 2014

GOVA KUDEDI JU YA TEI,GEJ, WABA SHENG SLANG LATEST

Kuna karau/mbanga nifla alilazimishwa ku
take tot kinde na sita (16) za
makali
na azikunywe na dakika salasa.
Akiwa
kwa harakati ya kunywaku aka
lemewa na aka anza kumwaora. Na
hakuna venye msee mwingine
angemsaidia kunywaku. Hata wife
wa
kwake alikuwa hasapo lakini
hangemsaidia kunywaku juu ilikua
dare ya aina yake.

Sa vile boiz alianza kumwaora, wife alikuwa anataka kumuokolea lakini du. Hata
ma gova wenzake na wasee hu
serve kwa baesa hawange eza
kumwokolea, wacha hivyo, hata kumkaribia i-say.

SEE ALSO:

Sasa ikabaki mjamaa/m-guyz
amekamanyuria.
Doki anadaisha
boiz alikamanyuria juu ya kukata
waba kibao sana at once na mwili
haingeweza kuihandle, ilikuwa kundialalaa.....

Tunaingiza time ya mabash na
watu
kujibamba kwa mabaesa, mtaani
nini nini, tunaomba tu, ka huwezani na tei, temana tu nayo jo!

Sheng za Nairobi

By Toboa siri

Machizi wa nairobi na Githurai (Thika road Superhighway) Machizi NAIROBI na Thika Road

image

Official Sheng za Nairobi Facebook page

0 comments:

TRENDING THIS WEEK

SPORTS